FT: Simba SC 1 - 0 JKT Tanzania | NBC PL | KMC Complex | 24.12.2024

Vipi ulikuwa jela?
WAdogo zangu shida yenu mnapenda kusikiliza maoni ya wanaojiita wachambuzi. Mlivyo na akili ndogo mnapewa na vipicha kadhaa mnababebwa kabisa. Hapo nilichomaanisha niletee video inayoonesha goli la mkono limefungwa sio vipicha vya kipropaganda
 
Hiyo nitakufundisha stage ya mwisho ya darasa langu, kwa kuwa kabla ya somo la magoli inabidi nikupe shule ya foul nje na ndani ya box na adhabu zake
Sawa ndugu japo sijasema hayo siyaelewi. Since umeonesha nia usiniangusha ukaleta utumbo wa ukoloni nitakutoa baru
 
Ushauri wangu umefanyiwa kazi
Kuhusu kumaliza mechi haraka??

Bora hata wewe umeonesha recognition kwa refa. Yule mwenzako hana shukrani kabisa.

Huwezi amini pamoja na kumuandama refa amalize mechi mapema, refa anamaliza mechi anaanza tena kumlaumu refa kwanini anaondoka haraka badala ya kukaa kaa kidogo.

Bora wewe kabisa
 
Kama ingekuwa refa hausiki na fair play,why siku hizi mpira ukimgonga refa why anawapa advantage waliokuwa wakiumiliki mpira? Maana zamani ilikuwa hamna.

Kuna sehemu nimelalamika refa amalize mpira haraka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…