Huenda wakabadilika wakiwa Uwanja wa nyumbani.Hongereni najua hamuwezi kukutana na kitu cha tofauti kule bondeni. Jamaa hawana maajabu hawa kazi kwenu tu kufika fainali.
Hao ni majina tu. Kama hii ndio timu ilitowatoa hao basi hata hao wameshashuka viwango.Tuwaulize AS VIta na Zamalek, walifungashwa virago na hawa
Dont undermine things nyie ndo huwa mnashangazwa hii mechi ya goli moja usijiaminishe kumbuka wakisawazisha tu mechi inaanza upya kabisa na wasouth huwa wanapewa wanapendelewa sana huko kwaoHongereni najua hamuwezi kukutana na kitu cha tofauti kule bondeni. Jamaa hawana maajabu hawa kazi kwenu tu kufika fainali.
Pumzi imekata...Dah, tumechoka balaa.
Halafu hatuna mbadala wa namba 10 kabisa. Kachoka kweli.Pumzi imekata...
Ndio maana nikasema nyie wote viwango sawa. Haiwezekani hapa mkose goli mbili kwa uchezaji huu. Hii timu ni ya kawaida tofauti na ilivyokua hypedDont undermine things nyie ndo huwa mnashangazwa hii mechi ya goli moja usijiaminishe kumbuka wakisawazisha tu mechi inaanza upya kabisa na kumbuka always wasouth huwa wanapewa fever sana
Mechi itachezea tu, Kila mtu atajionea.Poor Simba! Naiona sababu yakutoka nduki March 8
Unafananisha Club Bingwa na huu utoto?Wanashiriki mashindano gani?
Hiyo Club bingwa Simba kacheza mara ngapi?Unafananisha Club Bingwa na huu utoto?