FT: Simba SC 2-0 Al Masry SC | Robo Fainali CAF CC | Uwanja wa Mkapa | 09 Aprili 2025

❣️❣️ 🅺🆆🅰 🅽🅸🅰🅱🅰 🆈🅰 🅰🆉🅰🅼 🅽🅰🆂🅴🅼🅰 🅺🅸🆆🅰🆂🅷🅴 ❣️❣️
 
Hizi back pass za nn jamani, mbona upuuzi huu. Khaaah
 
Kibu kaanza ujinga wake tena km kawaida, huyu rastaman hata haambiliki. Lol
 
Hata Madrid hawakuamini jana na leo hao Al Masiriri hawataamini
Hivi unawaona warabu walivorelax lakini!! Boli liko langoni kwao ilaa walaaaaa 💚💚💚💚💚🕺🕺!

Wana5imba Subirini kilio tu
 
Weka ugoko niweke chumaaa weka kigingi niweke jiweeeee yani bampa to bampa💚💚💚💚💚💚💚💪💪🕺🕺🕺🕺
 
Hivi unawaona warabu walivorelax lakini!! Boli liko langoni kwao ilaa walaaaaa
Wana5imba Subirini kilio tu
Me sio mwanasimba ila sitaki tu mwarabu ashinde tena kwenye ardhi yetu
nachoombea tu, mwarabu asikimbie maana vinatabia ya kususa
😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…