Leo Simba ooouuttttttttt ๐ฎ๐ฎ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ช๐ชMe sio mwanasimba ila sitaki tu mwarabu ashinde tena kwenye ardhi yetu
nachoombea tu, mwarabu asikimbie maana vinatabia ya kususa
๐
Ndo walivyocheza hata kwao wakatufunga 2.Hawa Almasry jinsi walichagua kucheza low block itawagharimu sana
Tuliaaaaa โฅ๏ธHadi dkk hii, bado sioni muunganiko wa team, yaan kila mtu bora liende, na hali ilivyo hapo uwanjani, bas ni shida tupuu.
Mh shem๐Weka ugoko niweke chumaaa weka kigingi niweke jiweeeee yani bampa to bampa๐๐๐๐๐๐๐๐ช๐ช๐บ๐บ๐บ๐บ
Bill
mtzedi
Mtoto halali na hela
Scars
Greatest Of All Time
Leo wote mko busy na kazi eti. ๐คฃ๐คฃ
Tunajua mnapumulia mashine huko mliko lakini njoeni muandike chochote basi. ๐๐
Simba inampiga mtu mkono. Kaa hapa hadi mwishoLeo Simba ooouuttttttttt ๐ฎ๐ฎ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ช๐ช
Mwarabu mtu mbadi weeeeee