Brelim Skoro_
JF-Expert Member
- Mar 29, 2014
- 15,188
- 37,742
Sisi tunamchobeya mwarabu hapaNakuona Mtani kule kwetu hiyo style hapo wanaita kuchobeya. π€£π€£π€£
leo tunaondoka na wewe mke wetuThubutuuuuu πππππͺπͺ!
Wanajitekenya au wanatekenya mwarabu ππMashabiki wa simba wanajitekenya nakucheka wenyewe.
Sasa kwani kosa lao ni lipi Dada?πIla mods mko faster kweli kuchange ubao. π€£π€£
Simba kamla mwarabu .Mbona nasikia kelele banda umiza kuna nini huko?
Pamoja na mgeniiiiiiiππππππͺπͺππππleo tunaondoka na wewe mke wetu
Lahaula lakwata Ansar sun kwani simba wapo wanaswali msikiti gani hapo Misri?Simba kamla mwarabu .
Hahaha karelax ety ngoja ashenyentwe safi sana mnyama make Tanzania proudLeo Simba ooouuttttttttt
Mwarabu mtu mbadi weeeeee
Ngapi ngapi huko mzee wangu.Bado dakika 30
5 wanakula hawaSimba inashinda goli nyingi hii mechi