Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 21,593
- 46,759
Tayari washamlima ban, nilimpa ushauri wa kutafuta account mpya akapuuza ππMpira umeisha nilisema 3-0 imeisha 2-0 ban itokee wapi?
Hicho kichaka cha medali kinaenda kufyekwa mnyama anafika hiyo final na kubeba kabisa , na kule champions nyinyi underdog hamna cha kutambiaNani ateseke? Yani niteseke wakati Nina medali shingoni ya fainali but unaangaika na kitimu kibovu icho mpaka unapita kwa penalty na zenyewe kwa nguvu za ndumba na bado iyo ni nusu je ukifika fainali kama yanga si utavua nguo kabisa na kutembea uchi
Wachawi sana nyie πΉπΉπΉπππππ uduguu em tuacheee.
Bomba limefunguliwa, πππππShukrani sna mrembo ahsante kwa hii zawadi kw furaha niliyonayo usiku wako Leo utamwaga sna maji km Nouma
Andaa nailoniBomba limefunguliwa, πππππ
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£ tena yamekuwa hayo? Umnyime shem wangu kweli? Hapana tutaandamana π π π π π π leo ndiyo siku ya kumpa yote, mdada mzuri mwenye shepu yako town π₯°Ym
Amina mrembo mwenye moyo wake mzuri...yani nina furaha sidhani hata kama shem wako atapata huduma leo...ahahahhahahhahaahhah
ungeingia siyoKwanini mashindano hayana dakika za nyongeza?
Yaan tunaelekea kuwa waganga kabisaa,Wachawi sana nyie πΉπΉπΉ
Kesho tukipigwa sijui nitarudi vipi kigamboni πππTupo japo viroho vinasokotwa. Hatuna la kufanya. Tunawapongeza warembo wa simba. Siku yenu leo π₯°π₯°π₯°π₯°π₯°
Wewe huoni kama uwanja ulikua unazinguaOooh tunawafunga goli zaidi ya 4,,unaenda nusu kwa kudra za waganga wa kienyeji Tena kwa penaltyπ€£π€£π€£
Miaka mitatu mingi πΉπΉπΉTayari washamlima ban, nilimpa ushauri wa kutafuta account mpya akapuuza ππ
Yaani mzee wa Kigamboni, wee acha tu. Na wale wajinga wanavyotukamiaga. Mimi sijui hata nielezeje, hali niliyonayo na kesho tuna mechi. Tuombe kwa Mungu tu, atujalie. Maana mji hautakalika unajua...Kesho tukipigwa sijui nitarudi vipi kigamboni πππ
ukizingatia jina lake naipenda sana ile staili yake ya kupasha kabla ya mpira kupigwaPinpin Camara