FT: Simba SC 2-0 Al Masry SC | Robo Fainali CAF CC | Uwanja wa Mkapa | 09 Aprili 2025

Kama malumo alikuwa anataka kushuka daraja na akafika nusu basi kumbe ni rahisi mchukue Tanzania prison ama kengold zinazotaka kushuka daraja na zenyewe zikafike fainali,,
Unafikiri vipi ndugu? Prisona na Kengold wakujaje? Nimekukumbusha kuwa timu mliyoitoa ilishuka daraja Kwenye ligi yao na sio kuwa ilitaka kushuka. Sasa unapoibeza Simba Kwa kuitoa Al masry iliyo nafasi ya nne ligi yao unaonekana kituko , halafu unajivunia medali ya kufika fainali baada ya kuitoa timu iliyoshuka daraja.
 
 
Mshaanza:

1. Mwamposa
2. Masheik
3. Ushirikina.
4. Fukuza Manager...

5.
6
97651
97652. Mazoezi.
 
Wale wafyeka vichaka kichaka cha rank kinahitaji masururu.
 
Tunavuka sio kizali kukutana na timu ya kuungaunga. Tunavuka na kipa lenye uhakika wa kudaka mapenati.

Hili kipa ni sawa na timu nzima ya Yanga pamoja na bench la ufundi na mashabiki wote
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ahahahaah yani wengine furaha ikizidi akili inahama... 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†nitajitahidi dear
 
Kama malumo alikuwa anataka kushuka daraja na akafika nusu basi kumbe ni rahisi mchukue Tanzania prison ama kengold zinazotaka kushuka daraja na zenyewe zikafike fainali,,
Wee si utulie hata kdg, mbna una haha sana? Shughuri haikuhusu, unavaa dela la sare, vipi hujambo nn?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…