Kachungulie ubaoMnyama 3-0 ice cream
HahahaKachungulie ubao
HahahaAzam wamesawazisha dakika ya ngapi?
Aibu!Uto nawaita tena mpooo ?
Naskia vilio mtaani kila mtu akilalamika kupigwaHi
Hivi kuna watu wamepigwa LBL? Kama ndiyo basi SISIEMU itaendelea kuongoza hadi mwisho wa dunia maana TZ wajinga ni wengi sana.
UbwelaHovyo kabisa sasa huko quarter final si tutapigwa kama ngoma
Aisee hakuna timu pale, wachezaji wanacheza kama wameshindia mlendaHovyo kabisa sasa huko quarter final si tutapigwa kama ngoma
UbayaNaskia vilio mtaani kila mtu akilalamika kupigwa
Tunajenga team.Simba SC VS Azam FC
| NBC Premier League
| Benjamin Mkapa
| 24 Februari, 2025
| Saa 1:00 Usiku.
Hatuna na shida na kombe lao la bahasha wakishindwa kuchukua huu ubingwa tutauchukua sisi halafu tunawapelekea pale jangwani au avic town wakae nao sisi tunataka ubingwa wa CAFCCTimu imewekewa mazingira ya uhakika point 24 halafu unasema kuna timu?. Simba inatoa jasho kila mechi tunawapongeza . Madhara yake hata kama wanajifanya hawaoni . Kimataifa ni mdebwedo🤓