FT: Simba SC 2-2 Azam FC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa | 24 Februari, 2025

Timu imewekewa mazingira ya uhakika point 24 halafu unasema kuna timu?. Simba inatoa jasho kila mechi tunawapongeza . Madhara yake hata kama wanajifanya hawaoni . Kimataifa ni mdebwedoπŸ€“
Kabla ya kuja GSM Ubingwa aliochukua Yanga hadi kuwazidi Makolo nani alikuwa anaidhamini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…