FT: Simba SC 6-0 Jwaneng Galaxy | Benjamin Mkapa Stadium | 02.03.2024. 19:00 EAT | Simba yafuzu Robo Fainali

Simba wa Kimataifa, piga 3-0 hao Jwaneng
 
Leo kwa Mkapa kuna mtu anapata fadhaha nzito.
 
Hakuna namna Simba LAZIMA anashinda [emoji1434]
 
Jwaneng ni waafrika wenzetu, ni wenzetu kabisa hawa.

Kila la heri Jwaneng.
 
Kuna vimanyunyu kiasi vimenyesha Leo mchana.

Hii ni dalili ya ushindi Kwa Simba na kuzidiwa nguvu Kwa Yale Majini waliosaidiwa kambi Kule Avic town Kigamboni.

Natamani tukutane wenyewe Kwa wenyewe Nusu fainali.
Usisahau mechi ya Raja mlikandwa kwenye mvua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…