FT: Simba SC Vs Yanga SC (0-1)| Simba yashindwa kutwaa Ubingwa wa Ligi kuu uwanja wa Benjamin Mkapa

Mama ako hajaolewa au aliokotwa tu
Mkuu ukichukulia vitu vya kwenye mtandao serious utaumia sana.. hasa hayo matusi na kejeli tulio wengi ni furahisha genge hatuna roho hizo.
 
Manyuklia ya mzee mpili yamefanyakazi

Haya hongereni watani, japo refa nae amewastiri.. Penati 2 za waziwazi,

Ama refa alikuwa anamuogopa mzee mpili asije kumoiga manyuklia... [emoji23]
 
Ka-simba ka majumbani kapigwa na kitu kizito kichwani
 
1 Usije mpimia mtu hapa chini ya jua
2 Hakuna anaejua kesho
3 mpira hauna mwenyewe
4 muache kuingia uwanjani na matokeo
5 yanga ni team nzuri labda haina vitu vichache sana
6[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…