Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,916
- 40,479
Na wewe ni Mkia?Leo zinawasha eeh ...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wewe ni Mkia?Leo zinawasha eeh ...
Leo walishikwa kila sehemu,jamaa ovyo sana waleHuwa tunawaambia bila janja janja hawatufungi hawa.
Mkuu ukichukulia vitu vya kwenye mtandao serious utaumia sana.. hasa hayo matusi na kejeli tulio wengi ni furahisha genge hatuna roho hizo.Mama ako hajaolewa au aliokotwa tu
Wanaotukana wala sio simbaMikia acheni matusi mmekojolewa kaeni kimya
Shida ya hizo ni nini? Usiingize ushabiki wako katika maamuzi mengine yasiyokuhusu. Hii mitandao sio ya kuichukulia sana serious bro. Unaweza kuta unabishana na mshkaji wako wa damu. We chukulia kawaida tu.
Au sio....Piga Simba wa majumbani haooo, Simba og wapo porini nyie huku majumbani ni simba koko tu mtajuta leo😂😂
😂😂😂 Mtani sema hao ndio wale mbumbumbu kweli kweli. 😂😂😂😂Wanaotukana wala sio simba
Hahahahahah kaka hapo kuna TUSI au mkuu akili yako imeanza kuondoka taratibu?
😀😀😀😀Leo walishikwa kila sehemu,jamaa ovyo sana wale
Nguvu moja acha wafurahi kwa leoHii yao, tar 25 zamu yetu, Nguvu moja
Sitaki kuamini mpaka mda huu bado unashangilia ubingwa dada hongereni sana[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Naona hata kombe kwa sasa hwana hamu nalo,Sitaki kuamini mpaka mda huu bado unashangilia ubingwa hongereni sana
Hahahaaaa. LolSitaki kuamini mpaka mda huu bado unashangilia ushindi dada hongereni sana