FT: Singida FG 1 - 1 Simba (PNT: 2 - 3) | Mapinduzi Cup Semi Final | Amani Complex | 10.01.2024

Hapana Mkuu, haukutoka wote.

Ova
Kama line 1 anasema Gool kick ambaye ndiye anatoa maamuzi mipira ya pembeni wewe Refa hujaona kwanini uamue Kona.
Line 1 kakimbia mpaka kamaliza Chak, yupo kwenye kibendela unawezaje ku mbishia wewe center refa ree na Ile ni kazi yake.
Basi kuondoa utata kamfate umuulize line wako ndivyo wenzake wanavyo fanya kote.
 
Dakika za nyongeza huwa hazina nyongeza Pimbi wewe.
Dakika za nyongeza zinatumika kufidia ule muda ambapo mpira ulisimama.

Katika hizo dakika za nyongeza ikitokea scenario yeyote ya mpira kusimama lazima zifidiwe.

Ndio sheria hiyo

Japokuwa sheria hiyo inaweza kuleta matokeo yatayokuumiza lakini ndio imewekwa hivyo.

Hata kama unaona marefa wana ignore hizo moment ambazo mpira ulisimama wakati wa dakika za nyongeza haina maana wapo sahihi.
 
Njoo tena wee Malaya wa kiume, na ntakutia na dildooo,
Mamaeee zakoooo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Njoo ubwekee tena mbwa kokoo wee.
 
Mkuu Simba imeshinda, kunywa maji baridi ukae chini tuliza akili halafu jiulize malalamiko yako yanasaidia nini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuliaaa weweeee.
 
Marefa wa huku kwetu hawazingatii,ila baadhi za nchi za ulaya hata extra time ukipoteza mda dk zinahesabiwa ulizopoteza ndo maana siku hizi unaona dk zimeongezwa 5 unashangaa livescore zimefika hata dk 12.

Hizi sheria ziliapply sana world cup na euro national qualifications pia.

Lakini cha kushangaza sana wanaolalamika humu wao wanapofaidika na hiyo situation ni sawa,kwa wengine wanabebwa.

Lakini hii mechi ya leo imeongezwa dk 6 au 8? Mbona mi niliona dk 8 au niliangalia kibao cha kumwingiza mchezaji imeandikwa namba 8?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahsaaaanteeeee!!!

Muambie yule dogo wa tujikumbushe, kuna tusi alitoa ktk comment angu.

Keshoo ntamuonesha kuwa matusi sijifunzii, nimezaliwa nayooo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni nani huyo Hana adabu mreport Moderator Cookie watampa banned yake takatifu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…