Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio maana yanga waliwapiga 5 kwa sababu mpira wao laini sana, hawawezi kucheza na timu inayokimbia Sana.Mimi hapa nilisema
Endelea kuotaSimba sc akitulia game hii anashinda
Bold 😂.Leo saa 2:15 usiku ni Singida Fountain Gate dhidi ya Simba SC katika mtanange wa nusu fainali ya Kombe la Mapinduzi itakayopigwa leo 10.01.2024.
Tayari timu ya Mlandege kutokea Zanzibar imeshatangulia fainali.
Je, unaipa nafasi timu gani kuifata Mlandege?
View attachment 2867638- Onyango na Habibu Kiyombo wametolewa kikosini
Kikosi cha Simba kinachoanza
View attachment 2867641
Kikosi cha Singida FG kinachoanza
- Mpira Umeanza
- Singida wameanza kwa kushambulia kwa kasi
- Goool Rupia anawatanguliza Simba
- Bado Singida wanaliandama lango la Simba
Saido ni bonge la player. Tulimsajiri Kwa ushauri wa etooSaidoo ntibanzokiza atokee, huyu babu hana jipyaa kabisaa.
Kwa kifupi kaisha, mweeeeh
Wazee wengi unataka watapike ulimi?Tupo slow mno.
Hapa hakuna timu mpaka saizi
Naona jezi tu zinaruka ruka