FT: Singida FG 1 - 1 Simba (PNT: 2 - 3) | Mapinduzi Cup Semi Final | Amani Complex | 10.01.2024

FT: Singida FG 1 - 1 Simba (PNT: 2 - 3) | Mapinduzi Cup Semi Final | Amani Complex | 10.01.2024

Leo saa 2:15 usiku ni Singida Fountain Gate dhidi ya Simba SC katika mtanange wa nusu fainali ya Kombe la Mapinduzi itakayopigwa leo 10.01.2024.

Tayari timu ya Mlandege kutokea Zanzibar imeshatangulia fainali.

Je, unaipa nafasi timu gani kuifata Mlandege?

View attachment 2867638
Kikosi cha Simba kinachoanza
View attachment 2867641
Kikosi cha Singida FG kinachoanza

- Onyango na Habibu Kiyombo wametolewa kikosini

- Mpira Umeanza

- Singida wameanza kwa kushambulia kwa kasi

- Goool Rupia anawatanguliza Simba

- Bado Singida wanaliandama lango la Simba
Bold 😂.
Amewatanguliza Singida
 
Saidoo ntibanzokiza atokee, huyu babu hana jipyaa kabisaa.
Kwa kifupi kaisha, mweeeeh
 
Hivi kwenye mazoezi SAIDOO ndiye mpigaji mzuri wa faulu..?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yamefungwa bana.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Benchikha unafeli wapi. Baleke siyo mchezaji wa kucheza hii mechi. Unamuacha Chasambi au Mussa unamuweka Baleke. Hawa makocha sometimes sjui huwa wanawaza nini. Msukuma game ishamchanganya yule dogo Kazi ndo anatakiwa acheze na Che Malone.
 
Back
Top Bottom