FT: Singida Fountain Gate 1 - 2 Simba SC | NBC Premier League | CCM Liti Singida | Oktoba 8, 2023

#Nguvumoja#
 

Attachments

  • 20231008_150352.jpg
    437.2 KB · Views: 1
Kila la heri SINGIDA BIG STARS
 
Ogopa matapeli...

Ukiona timu yoyote inaongoza ligi jua mwenyewe hajafika!!!

#NguvuMoja
 
Reactions: BRN
Hivi ni kwanini Kila Mnyama Simba akicheza timu pinzani zinaahidiwa pesa kama zawadi ya ushindi ?
Hadi Azam ya Chamazi. KMC, Prisoni, Ndanda na wengine.

Kuna nini Simba.
Kwanini kila yanga akishinda mnasema amecheza na timu dhaifu
 
Kocha kaanza na Bocco baleke nje kmmk
Acha akae nje ili akili zimrudie, kichwa kilianza kuvimba baada ya kuona anaimbwa sana. Sehemu ya kufunga (nafasi ya wazi) analazimisha kuchop.

Ana kau-Morisson fulani hivi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…