FT: Singida Fountain Gate 1 - 2 Simba SC | NBC Premier League | CCM Liti Singida | Oktoba 8, 2023

Acha akae nje ili akili zimrudie, kichwa kilianza kuvimba baada ya kuona anaimbwa sana. Sehemu ya kufunga (nafasi ya wazi) analazimisha kuchop.

Ana kau-Morisson fulani hivi.
Lakini Mkuu..
Huyu coach ni kama hamsomi mpinzani na uwezo wa team yake na madhaifu.
Match ya mbeya
Saido, Ngoma walipwaya na bado tupo mikoani hawa wahya wasianzie bench?
 
Lakini Mkuu..
Huyu coach ni kama hamsomi mpinzani na uwezo wa team yake na madhaifu.
Match ya mbeya
Saido, Ngoma walipwaya na bado tupo mikoani hawa wahya wasianzie bench?
Saido pekee ndio naona hatufai kwenye mechi ya leo kutokana na upotezaji wake wa mipira, tujipe moyo kwenye sub japo ndio hivyo huyu kocha ni kicwa ngumu sana kwenye swala la SUB.
 
Dakika 10 zijazo
 
Wanaume sasa wanaingia ndani ya CCM Liti Singida.
Tukiwa na Uzi wetu Mwekundu.
Uzi wa mauwaji!?
 
Kikosi cha Singida
 

Attachments

  • 20231008_155930.jpg
    148.7 KB · Views: 1
Modes twendeni live sasa
 
Mpira umeanza hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…