The Lastdream
JF-Expert Member
- Jan 23, 2024
- 1,970
- 4,616
Sio kilingara ni kilingalaMayele kwa kilingara ni AKILI
ππππpole umia taratibuTanesco ni shirika takataka kabisa......
πππKaka yangu Mayele usiwaonee huruma haoooooo!
πNipo hapa ni suala la muda tu
Anacheza kitaalam sanaFaisal ktk ubora wake..
Kwasababu raisi ameweka kitu mezaniHuenda tukafungwa(naamini hivyo kuchomoka ni ngumu sana) lakini kwa hiki walichoonesha taifa stars mpaka sasa dk ya 30, wanafaa kusamehewa madhambi yao yaliyopita na machache yajayo.
Feisal angekuwa senegal ni mchezaji bora sana,, ukiwa katikkati ya nyumbu na wewe ni nyumbu tuAnacheza kitaalam sana
ππFeisal angekuwa senegal ni mchezaji bora sana,, ukiwa katikkati ya nyumbu na wewe ni nyumbu tu
Sitaki hio ligi unayotaka kuianzisha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nn sasa, c tunasema ukweli.