FT: Tanzania 0 - 0 DR congo | AFCON 2024 | Amadou Gon Coulibaly | 24 .01 .2024

Tanzania hatuna kabisa uwezo wa kutengeneza winga na washambuliaji, hili ni tatizo kubwa, na ni kwasababu washambuliaji wengi na mawinga kwenye ligi yetu ni wageni.... Ila kwenye viungo na mabeki tupo vizuri, tatizo linaanzia hapa...
 
Aiseeeeh poleeee 2M? mie leo niliweka 30k
Lakini navyoumiaa hapa, hiyo 2M wee kuwezaaa.
Lol
 
Jamaa hamna kitu anafanya makosa mengi

Out

Kichwa cha mwendawazi

Shida mnacheza kuonesha mnawezA badala ya kuchezA strategically

Hii game leo tungeshinda

Hivi watz ni waZuri kwenye nn ?

Kutiana tu na umbea
Nchi imejaa wakimbizi, hakuna hata wakulipigania taifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…