FT: Tanzania 0 - 0 DR congo | AFCON 2024 | Amadou Gon Coulibaly | 24 .01 .2024

Mimi ni myanzania naipenda nchi yangu,ila tangu ccm kuingiza siasa zao uchwara kwenye timu ya taifa basi naiombea taifa stars leo ishinde yani ishinde Njaa,ifungwe bao nyingi na DRC.
 
Leo hatutupi karata bali tunachana kabisa.
Wamesema Stars wakishinda Simba wameshinda sababu Stars wamepigwa Logo ya Sandaland, km ni hivyo Mimi naishangilia Congo DR sitaki ushabiki maandazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…