FT: Tanzania 0 - 0 DR congo | AFCON 2024 | Amadou Gon Coulibaly | 24 .01 .2024

FT: Tanzania 0 - 0 DR congo | AFCON 2024 | Amadou Gon Coulibaly | 24 .01 .2024

Aiseeeeh poleeee 2M? mie leo niliweka 30k
Lakini navyoumiaa hapa, hiyo 2M wee kuwezaaa.
Lol
2M yenyewe na kipato cha papatu papatu, kama sio moyo mgumu ningekuwa nishakufa kwa presha kwa kweli, siku 2,3 hizi nilikuwa duniani sipo ahera sipo
 
Ntaendelea kutofautiana na wengi angekuwepo yule kocha mwarabu hizi mechi mbili tungeshinda hawa wazawa hawana maamuzi,tulishawabana kocha baada ya kuongeza washambuliaji unaingiza wa kulinda
Na mimi niko na wewe kwenye hilo. Angekuwa Amrouche na asingeingiliwa katika upangaji wa kikosi tungeweza kupata matokeo sahihi katika mechi hizi mbili.
 
Yanga tuna bahati sana kua na beki kana Bacca. He deserve n worth my respect
Msimpe mkataba mnono sana msimu ujao muone kama atabaki, kwanza hii miçhuano ameshaonekana vilivyo na maskaut wakubwa, .. na mishahara yenu ya dharau kwa wazawa ndio mtajua.
 
Kwa dk 90, TZ had 0 shot on target, while Congo had 3 shots on target.
 
Back
Top Bottom