ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Hii timu yenu ya Taifa wanatakiwa watandikwe bakoraNext time Tanzania tupeleke Wanajeshi wa JWTZ wenye Uchungu tukuka na Uzalendo ili waipiganie na waipambanie nchi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii timu yenu ya Taifa wanatakiwa watandikwe bakoraNext time Tanzania tupeleke Wanajeshi wa JWTZ wenye Uchungu tukuka na Uzalendo ili waipiganie na waipambanie nchi.
2M yenyewe na kipato cha papatu papatu, kama sio moyo mgumu ningekuwa nishakufa kwa presha kwa kweli, siku 2,3 hizi nilikuwa duniani sipo ahera sipoAiseeeeh poleeee 2M? mie leo niliweka 30k
Lakini navyoumiaa hapa, hiyo 2M wee kuwezaaa.
Lol
Yaani hao ndio usijaribu mpira si nguvu za jeshi tutatia aibu nchi itakuwa ni netballNext time Tanzania tupeleke Wanajeshi wa JWTZ wenye Uchungu tukuka na Uzalendo ili waipiganie na waipambanie nchi.
Mkuu una akili ndio ujanja huo.2M yenyewe na kipato cha papatu papatu, kama sio moyo mgumu ningekuwa nishakufa kwa presha kwa kweli, siku 2,3 hizi nilikuwa duniani sipo ahera sipo
Akili ya coach ilimwambia hatuwezi fungua turbo, lazima tucheze kwa nidhamu, tunatafuta goli la kudonoa, huku tukiwa salama. Hiyo ndio game plan yakeNadhani haya mapokeo mapya ya mpira wa kujihami yanatupeleka pabaya. Utashangaa hata timu za ndondo zinachezesha beki 8 bila kujali mahitaji ya timu ni yapi
Na mimi niko na wewe kwenye hilo. Angekuwa Amrouche na asingeingiliwa katika upangaji wa kikosi tungeweza kupata matokeo sahihi katika mechi hizi mbili.Ntaendelea kutofautiana na wengi angekuwepo yule kocha mwarabu hizi mechi mbili tungeshinda hawa wazawa hawana maamuzi,tulishawabana kocha baada ya kuongeza washambuliaji unaingiza wa kulinda
Hiyo ni timu au kituko? Kwanza Leo ni mara ya mwisho kuangalia upuuzi.
Hadi wanafuzi sijawahi angalia popote ,hata hiyo 2027 sitapoteza mda wangu kuangalia ujinga
Msimpe mkataba mnono sana msimu ujao muone kama atabaki, kwanza hii miçhuano ameshaonekana vilivyo na maskaut wakubwa, .. na mishahara yenu ya dharau kwa wazawa ndio mtajua.Yanga tuna bahati sana kua na beki kana Bacca. He deserve n worth my respect
NmeshangaaNtaendelea kutofautiana na wengi angekuwepo yule kocha mwarabu hizi mechi mbili tungeshinda hawa wazawa hawana maamuzi,tulishawabana kocha baada ya kuongeza washambuliaji unaingiza wa kulinda
Mwana ccm huyo,hua wanaona miaka ijayo ili waendelee kupanga mikakat ya kifisad zaidi.2027? una uhakika gani utauona?
Safar moja huanzisha nyingineAgainst Morocco: No shot on target
Against Zambia: 2 Shots on target
Against Congo DRC: No shot on target
Utapataje shot on goal timu inarudisha mpira nyumaAgainst Morocco: No shot on target
Against Zambia: 2 Shots on target
Against Congo DRC: No shot on target
Aisee inasikitisha sanaUtapataje shot on goal timu inarudisha mpira nyuma
Unawaza kufa mawazo ya kimasikini kufa ni matokeo2027? una uhakika gani utauona?
Naunga mkono hojaNext time Tanzania tupeleke Wanajeshi wa JWTZ wenye Uchungu tukuka na Uzalendo ili waipiganie na waipambanie nchi.