FT: Tanzania 0 - 3 Morocco | AFCON 2024 | San Pedro, Ivory Coast | 17.01.2024
Hata hivyo refa katuvumilia sana, ukiachana na hii rafu ya Bacca kuna ile ya Mwamnyeto ila refa aliikaushia tu
 
Set pieces hawa ndo silaha yao nyngne.

Ss hapa ndo itajulikana itakuaje maana tumelambwa na style yetu ya back pass ss itakua sio plan tena.
 
Wanasubiria pass za kaunta ataki na ndio hapo naposema itakuwa ni ngumu kwa safu ya mbele kuwa na tachi nyingi kwasababu mipira mingi inaishia kati
Tutapigwa nyingi hakika
 
Back
Top Bottom