FT: Tanzania 0 - 3 Morocco | AFCON 2024 | San Pedro, Ivory Coast | 17.01.2024
Wasiwasi umetanda kidogo hapa.

Hawa straiker wetu inaonekana ni nyumu sana kuvuka hii safu ya Morocco
Wanasubiria pass za kaunta ataki na ndio hapo naposema itakuwa ni ngumu kwa safu ya mbele kuwa na tachi nyingi kwasababu mipira mingi inaishia kati
 
Kila na Kheri taifa stars. Ila sipendi hii game tactics ya huyu coach. Yaani tu defend in numbers ...tunawapa respect sana wamorocco. Tujifunze pressing toka mbele ....tukifanya hivyo naona wataanza kufanya makosa. Vinginevyo ni muda tu tunaweza kupigwa bao.
 
Sasa naona stars waachwe kama walivyo, ubora wa wapinzani ndio unaofanya waonekane wabovu, lakini sio wabovu sana kiuhalisia.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom