Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Good...tanzania tunaongoza ball posession asilimia 55 kwa 45
Inavyoonesha game plan ya leo ni kutafuta sare tu.Je tutaweza kubinya Pumbu hadi dakika 90 maana hatuoneshi dalili ya kufunga zaidi ya kuzuia tu.
Wasjjidanganye kuijilindaMipira mbele haifiki jamaa wanacheza kwetu
Samatta akakikaa vibaya atajikuta half time inaisha akiondoka na wastani wa touch zisizozidi 5.
Hana chochote huyo!Nimemuona Tundu Antpas
Sure wataipata htInavyoonesha game plan ya leo ni kutafuta sare tu.
Tukisema tupishane yanaweza kujitokeza yale ya kimbali
Unashaurije?Wasjjidanganye kuijilinda
Wako watatu.Hii staili ya Kuchezea na mshambuliaji mmja mbele binafsi sijakubali kabisa hata kama mtasema ni kujihami.
Kocha aongeze mshambuliaji mwingine mbele Bora wawe 2
Yupo jukwaani Ivory Coast?Nimemuona Tundu Antpas
Hata FT inawezekana piaSure wataipata ht
Tu
FT wanalia
Nimeshangaa sanaHatuna kocha
Novatus kamweka kama beki, na kumwacha job nje