FT: Tanzania 0 - 3 Morocco | AFCON 2024 | San Pedro, Ivory Coast | 17.01.2024
Wasiwasi umetanda kidogo hapa.

Hawa straiker wetu inaonekana ni nyumu sana kuvuka hii safu ya Morocco
 
Mpaka dk 20 hatuja pasuka kweli tunatimu Bora, mwarabu akifanya mchezo tunampasua... possession hiyoo inanipa Amani.
 
Tz tunafeli yani full back pass , mid hakuna wachezaji ,
Huu mchezo tunaocheza had sasa ni mzr kwa kujilinda tu lkn tukipigwa chuma 1.

Hapo ss ndo itakua kasheshe maana itatubid tubadilishe game plan na tukibadilisha hapo ndo inaweza kua tatz kwetu.
 
Kwa hiyo jamani huyu Himid Mao ndio ana miaka 28? 😄 😄
 
Back
Top Bottom