FT: Tanzania 0 - 3 Morocco | AFCON 2024 | San Pedro, Ivory Coast | 17.01.2024
Tanzania (Taifa Stars) inatarajia kuingia kucheza Mchezo wake wa kwanza wa AFCON dhidi ya Morocco kwenye mji wa San Pedro, Ivory Coast. Mechi hii itachezwa saa 2:00 usiku

Timu hizo zipo kwenye kundi F ambpo timu nyingine ni Zambia na DR Congo.

Upi utabiri wako wa mechi hiyo?

===========


Timu ya taifa ya #Tanzania ‘TaifaStars’ inatarajiwa kuanza ushiriki wake wa Michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2023) kwa kukipiga dhidi ya Morocco katika mchezo wa Kundi F, leo Januari 17, 2024.

Baada ya mechi ya Morocco, Tanzania inayonolewa na Kocha Adel Amrouche inatarajiwa kukutana na Zambia (Januari 21, 2024) kisha dhidi ya DR Congo (Januari 24, 2024).

Jikumbushe historia ya mechi zilizopita baina ya wababe hao wawili; Tanzania 0-2 Morocco (2023), Morocco 2-1 Tanzania (2013), Tanzania 3-1 Morocco (2013), Morocco 3-1 Tanzania (2011), Tanzania 0-1 Morocco (2010).
Kwa sababu ni timu Bora ndio tunapaki basi kwamba tunatafuta sare au?

Waache uesenge watafute magoli
 
20240117_120910.jpg
 
Mabek wa Tanzania wafunguke mbele else tukiruhusu koswa koswa kwetu tu tutalia
 
Back
Top Bottom