FT: Tanzania 0 - 3 Morocco | AFCON 2024 | San Pedro, Ivory Coast | 17.01.2024
Mipira mbele haifiki jamaa wanacheza kwetu

Samatta akakikaa vibaya atajikuta half time inaisha akiondoka na wastani wa touch zisizozidi 5.
Wasjjidanganye kuijilinda
 
Hii staili ya Kuchezea na mshambuliaji mmja mbele binafsi sijakubali kabisa hata kama mtasema ni kujihami.

Kocha aongeze mshambuliaji mwingine mbele Bora wawe 2
 
Hichi Kikosi cha Marroco kilicheza semi final world Cup
 
Back
Top Bottom