Haaaa msuva kocha ana ona amna haja yakushikilia bomba mtanzania mzungu chupi chini
 
Mnashindana na watakao chukua kombe...ndio zenu..hata previous cap ilikuwa hivyohivyo
 
Hapo nilikuwa nampa kongole kwenye ile attempt ya kuokoa mpira ambao ulikuwa unaenda nje na kusababisha kona kwenye lango letu

Haikuhusiana na goli alilofungwa kwasababu hata mimi sioni nafasi ya kumlaumu kwenye hili goli
Yaani kwa Atakaye mlaumu hana akili kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…