Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tukipigwa chini ya 3 tumejitahidi.Kuna Dalili ya kupigwa mengi
Wanafidia za waarabu wote algeria tunisia egypt mpaka tujambe denguLeo mbna tutapigwa nyingiiii mnooo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wachezaji wote inaonekana ni above 30Kwa hiyo jamani huyu Himid Mao ndio ana miaka 28? [emoji1] [emoji1]
Yaani kwa Atakaye mlaumu hana akili kabisaHapo nilikuwa nampa kongole kwenye ile attempt ya kuokoa mpira ambao ulikuwa unaenda nje na kusababisha kona kwenye lango letu
Haikuhusiana na goli alilofungwa kwasababu hata mimi sioni nafasi ya kumlaumu kwenye hili goli