FT: Tanzania 0 - 3 Morocco | AFCON 2024 | San Pedro, Ivory Coast | 17.01.2024
Mnashindana na watakao chukua kombe...ndio zenu..hata previous cap ilikuwa hivyohivyo
 
Hapo nilikuwa nampa kongole kwenye ile attempt ya kuokoa mpira ambao ulikuwa unaenda nje na kusababisha kona kwenye lango letu

Haikuhusiana na goli alilofungwa kwasababu hata mimi sioni nafasi ya kumlaumu kwenye hili goli
Yaani kwa Atakaye mlaumu hana akili kabisa
 
Back
Top Bottom