Mwakapesa II
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 554
- 915
Wana kitete .Sielewi Taifa Stars wacheza kwa malengo yapi.
Kila wachezaji wa nyuma wakipata mipira waibutua bila malengo ya kutoa pasi au vipi.
DustTaifa Stars wapo vizuri sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nachekaaa km chizii wallah.Wanafidia za waarabu wote algeria tunisia egypt mpaka tujambe dengu
Kocha alikua hana plan ya sisi kucheza kwenda mbele.Uwanja umeinama
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mwamnyeto anageuzwa kama yuko depo ya arusha mama....kulia geuka chap kushoto geukaaaa [emoji65]
Walikuwa Vizuri mwanzoni naona sasa hivi baada ya kufungwa kama wamepungua kasi..Dust
Mwambie aache ujinga hajui hiyo timu ni ya mwenyekiti wa wanaume dunianiManulaa ana mkazia ziyech