FT: Tanzania 0 - 3 Morocco | AFCON 2024 | San Pedro, Ivory Coast | 17.01.2024
Tufukuze huyu kocha.
1. Amekuja kufanya kama hii timu ni nyumbani kwake. Anaita kikosi kwa siri, hataki kutoa taarifa ya maendeleo ya timu. Ona sasa mambo yapo hadharani tunapata aibu.

2. Kwa uchezaji huu, uwezo wake ni mdogo sana.
 
wanapiga rulaaaa mbwaa hawa kama atuna bekiii jaman nn hiki
Huyu hajimnogaaa wa wapi uwiii
 
Mechi nyepesi hii.....

Hawa Morocco watapigwa kama ngoma
 
Back
Top Bottom