Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Hili kombe mwaka huu halina mwenyewe naomba Stars mcheze kama mmetumwa na kijiji tunachukua hii ndoo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa nimekutana na Mmorocco anasema leo wana tuchapa tu, nimemwabia dakika 90 zikimaliza tutamjua nani mshindi.Mkuu tukibahatisha hata point moja ni furaha kwetu
Kwangu mimi drc na Zambia ndio hatari zaidi
Tanzania (Taifa Stars) inatarajia kuingia kucheza Mchezo wake wa kwanza wa AFCON dhidi ya Morocco kwenye mji wa San Pedro, Ivory Coast. Mechi hii itachezwa saa 2:00 usiku
Timu hizo zipo kwenye kundi F ambpo timu nyingine ni Zambia na DR Congo.
Upi utabiri wako wa mechi hiyo?
Kocha na Kapteni Wana malengo tofauti...Kocha anasema akatafute uzoefu...Huyu jamaa anasema kushinda! Ila Leo tuna hali ngumu ...hizi Timu ndogo zilizowaoiga wakubwa zimetuchongea MORROCO wataingia Kwa tahadhari kubwa sana! Kinyume chake pia na sisi inatupa moyo tunaweza! ...God bless Taifa Stars!
Tanzania (Taifa Stars) inatarajia kuingia kucheza Mchezo wake wa kwanza wa AFCON dhidi ya Morocco kwenye mji wa San Pedro, Ivory Coast. Mechi hii itachezwa saa 2:00 usiku
Timu hizo zipo kwenye kundi F ambpo timu nyingine ni Zambia na DR Congo.
Upi utabiri wako wa mechi hiyo?
Kivhwa cha mwendawazimu kitanyolewa kwa shoka leo. Hazipungui alba.Tanzania (Taifa Stars) inatarajia kuingia kucheza Mchezo wake wa kwanza wa AFCON dhidi ya Morocco kwenye mji wa San Pedro, Ivory Coast. Mechi hii itachezwa saa 2:00 usiku
Timu hizo zipo kwenye kundi F ambpo timu nyingine ni Zambia na DR Congo.
Upi utabiri wako wa mechi hiyo?
Mimi nitatazama kuona ccm itakavyopasuka.Kivhwa cha mwendawazimu kitanyolewa kwa shoka leo. Hazipungui alba.
Sitapoteza muda wangu kuangalia.
Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
😅😅😅😅😅😅😅Mara paaap
Tanzania 3......0 Morocco
Naunga mkono hojaSafi nilikuwa na hili wazo pia.
Ule uzi wetu mkuu.
Utabaki vile vile.
Match za Taifa stars zianzishiwe nyuzi zake.