Designer_3434
JF-Expert Member
- Dec 4, 2015
- 4,901
- 3,941
Nguvu moja taifa mbele
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mie nataka staz wapigwe ili kamati ya maokoto isambaratikeKama wahamasishaji akina Mwijaku watakiwasha huko basi Morocco anaweza kupigwa 5G 🚮🚮🚮
Kihisia na mapenzi ni Tz ila kibishara ni moooko 😂😂😂😂apo wa hela anachezewa tuu wahedi.Nashabikia taifa staz by default tu lakini kwa kusema kweli leo nimeibetia morocco
CCM wapoleeeeeee subiri Wapate hata draw Tu utaona Mabango ya Asante Samia yatakavyopeperushwaMorocco 3-0 CCM stars
🤣🤣🙌Aisee, hii game wala ata sitaiangalia, mtanijuza tumefungwa ngapi
Hakika!Kila la kheri Taifa Stars, komaeni kama underdogs wengine walivyokomaa hadi sasa...
Morocco hawa hawa walioikataa Africa baada ya mafanikio yao ya world cup!Naishabikia Morocco, siwezi kuishabikia timu ya CCM.
Kama vile wanacheza na Mlandege?!Hakika!
Tumeaguhudia timu za kawaida kabisa zikipambana na kuzitoa jasho vigogo!
Kinachotakiwa kwa Taifa stars leo usiku ni;
1. Wajiamini kuwa watashinda.
2. Wapambane kwa bidii na maarifa.
3. Wacheze kwa ushirikiano kama team moja.
4. Waache uoga na wasiwasi, watulie kama vile wanacheza na mlandege.
5. Wasijilinde sana wakaacha kushambulia, washambulie na wajilinde.
Wakifanya hayo naamini kama hawata shinda basi watatoa sare.
Tunawatakia kila la heri
Tawire,Tukutane saa 4 usiku hapa😁