Ngoniboysinai
JF-Expert Member
- Aug 6, 2013
- 590
- 482
tutafungwa 2-1tz
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una link mkuu?Tizama online
Mkuu Manula anaanza AiseeKabisaaa idadi tu ya magoli mkuu sijajua itakuwa kubwa ama watatupa.medium range
Kabisaaa idadi tu ya magoli mkuu sijajua itakuwa kubwa ama watatupa.mqdium rangeMeans tutake tutapigwa tusitake tutapigwa.
Huyu ndie aliebakia mkuu ukiacha diara nxtynhuuuyu mwambaaaMkuu Manula anaanza Aisee
Huoooombeleeee n aibuu tupu yangumachooooView attachment 2874661
Mungu Tusaidie sisi Watanzania
Golini akipangwa manula jua tunabeba mengi leo. Kocha ajiepushe kupewa majina kishabiki kutoka kwa KariaTanzania (Taifa Stars) inatarajia kuingia kucheza Mchezo wake wa kwanza wa AFCON dhidi ya Morocco kwenye mji wa San Pedro, Ivory Coast. Mechi hii itachezwa saa 2:00 usiku
Timu hizo zipo kwenye kundi F ambpo timu nyingine ni Zambia na DR Congo.
Upi utabiri wako wa mechi hiyo?
===========
Timu ya taifa ya #Tanzania ‘TaifaStars’ inatarajiwa kuanza ushiriki wake wa Michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2023) kwa kukipiga dhidi ya Morocco katika mchezo wa Kundi F, leo Januari 17, 2024.
Baada ya mechi ya Morocco, Tanzania inayonolewa na Kocha Adel Amrouche inatarajiwa kukutana na Zambia (Januari 21, 2024) kisha dhidi ya DR Congo (Januari 24, 2024).
Jikumbushe historia ya mechi zilizopita baina ya wababe hao wawili; Tanzania 0-2 Morocco (2023), Morocco 2-1 Tanzania (2013), Tanzania 3-1 Morocco (2013), Morocco 3-1 Tanzania (2011), Tanzania 0-1 Morocco (2010).
Mungu wanyime Nguvu Hawa.Tanzania (Taifa Stars) inatarajia kuingia kucheza Mchezo wake wa kwanza wa AFCON dhidi ya Morocco kwenye mji wa San Pedro, Ivory Coast. Mechi hii itachezwa saa 2:00 usiku
Timu hizo zipo kwenye kundi F ambpo timu nyingine ni Zambia na DR Congo.
Upi utabiri wako wa mechi hiyo?
===========
Timu ya taifa ya #Tanzania ‘TaifaStars’ inatarajiwa kuanza ushiriki wake wa Michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2023) kwa kukipiga dhidi ya Morocco katika mchezo wa Kundi F, leo Januari 17, 2024.
Baada ya mechi ya Morocco, Tanzania inayonolewa na Kocha Adel Amrouche inatarajiwa kukutana na Zambia (Januari 21, 2024) kisha dhidi ya DR Congo (Januari 24, 2024).
Jikumbushe historia ya mechi zilizopita baina ya wababe hao wawili; Tanzania 0-2 Morocco (2023), Morocco 2-1 Tanzania (2013), Tanzania 3-1 Morocco (2013), Morocco 3-1 Tanzania (2011), Tanzania 0-1 Morocco (2010).
Ameshapangwa tayari!!Golini akipangwa manula jua tunabeba mengi leo. Kocha ajiepushe kupewa majina kishabiki kutoka kwa Karia
Mganga wa Manula na Bocco ana kituNjia pekee ya manula kurudisha uaminifu ni Kudaka Mkwaju wa Penati maana Raia hazina imani nae kabisaa...Njia ya samatta kuaminiwa na wananchi afunge goli aache mpira wa Kifaza..Himid Mao pale kati ni kama kazeeka huyu jamaa kaanza boli zamani sana ila Miaka yake haisogei kama ya Bocco..Yote tisa la kumi Naitakia stars Ushindi au angalau droo
Inawezekana ila ni 2099 hukoTanzania 1 - Morocco 0
Tanzania 2 - DRC 1
Tanzania 0 - Zambia 0
Unatuogopesha MkuuHuoooombeleeee n aibuu tupu yangumachoooo
Anhaaa🤗🤗🤗
Tukipata hata moja kwetu ni ushindi!!tutafungwa 2-1tz
Kwani Hawa si ndo walisema sio Waafrika. Ndugu zao ni waarabu kwani we ni Muarabu?Nawaombea dua ndugu zetu Morocco wapate ushindi mnene dhidi ya CCM stars