FT: Tanzania 0 - 3 Morocco | AFCON 2024 | San Pedro, Ivory Coast | 17.01.2024
Hatimae majibu yamekarbia kupatikana.

Uwezo ndo unabid kutumika hapa.. Mambo ya dua hayana nafasi hapa.. Uwezo uwezo uwezo.

Dua hata Morocco wanaomba pia.
 
Tuanza Usimba na Uto hapa.

Hii ni Tanzania.

Zimebaki DK 20 tu!!
 
Samata; mama shkamoo

Mama Abdul; marahaba mwanangu salama?
Samata; salama mama za huko?

🤣🤣🤣🤣aibu naona mimi
 
1705509769510.png
 
Daah ila hili kundi letuuu....... tucheze kwa nidhamu ya hali ya juu sana la sivyo tutachapika sana.
 
Baada ya ushindi wa Leo ..Kesho watumishi wote watapata bonus na mshahara…
 
Golnyuko manula tumekwisha watanzania wenzangu tujiandae ki psychology
 
Back
Top Bottom