FT: Tanzania 0 - 3 Morocco | AFCON 2024 | San Pedro, Ivory Coast | 17.01.2024
Gemu ni sare ya magoli naomba Baka ndio aanze na Job ikiwezekana golini asidake manura na Mwamwenyeto ndio watu nisiowaamini kwenye kuzuia...
 
Ushindi hauchagizwi na zawadi za kiasiasa au kampeni za wanasiasa bali maandalizi mazuri ya mwili na akili, nidhamu wakati wote wa mchezo, kufuata maelekezo ya mwalimu kwa usahihi...

Kama wao Morocco wapo 11 basi na Stars wapo 11
Umeandika kitaalam
 
🇲🇦 ft anashinda na magoli 3 au zaidi

Wale wenye moyosafi na wa kweli watamwona Mungu

niko.pale.kwa mangi napata mbege
 
Timu ya mama kizimkazi leo na kazi...

Itapigwa kama ngoma...
 
FT MOROOCO WIN
3-1/2-1/3-0

 NIKOKWAMANGIIPALEE
 
MKUMBUKE MOROCO TIMU BORA YENYE MACHO NA MASIKIO MSIHISI HAIJAONA WALICHOFANYIWA GHANA..TUNISIA..MISRI...NK...

YAAN LEO.KUOMBEAAAA WATUPUNGUZIE ADHABU YA MAGOLI

HUYU ATOKUJA KIJINGA AKIKUMBUKA YA WENZIE ATAKUJA NANHASIRA YA KUTUAMWAGILIA MAGOLI YA MAPEMA TUSIMPE USUMBUFU KIPINDI CHAPILI..WAZEE WA BETN KULA 1AH 2+ GOALS KANYWE UJI.....
 
Ushindi hauchagizwi na zawadi za kiasiasa au kampeni za wanasiasa bali maandalizi mazuri ya mwili na akili, nidhamu wakati wote wa mchezo, kufuata maelekezo ya mwalimu kwa usahihi...

Kama wao Morocco wapo 11 basi na Stars wapo 11
Bro unafikiri tutatoboa?
 
Ngoja tuone...🧐🧐🧐
Nauona mkono..🖐️🖐️🖐️🖐️
 
Msiogope
20240117_023211.jpg
 
Back
Top Bottom