FT: Tanzania 0 - 3 Morocco | AFCON 2024 | San Pedro, Ivory Coast | 17.01.2024
20240117_190419.jpg

Mungu Tusaidie sisi Watanzania
 
Njia pekee ya manula kurudisha uaminifu ni Kudaka Mkwaju wa Penati maana Raia hazina imani nae kabisaa...Njia ya samatta kuaminiwa na wananchi afunge goli aache mpira wa Kifaza..Himid Mao pale kati ni kama kazeeka huyu jamaa kaanza boli zamani sana ila Miaka yake haisogei kama ya Bocco..Yote tisa la kumi Naitakia stars Ushindi au angalau droo
 
Tanzania (Taifa Stars) inatarajia kuingia kucheza Mchezo wake wa kwanza wa AFCON dhidi ya Morocco kwenye mji wa San Pedro, Ivory Coast. Mechi hii itachezwa saa 2:00 usiku

Timu hizo zipo kwenye kundi F ambpo timu nyingine ni Zambia na DR Congo.

Upi utabiri wako wa mechi hiyo?

===========

Timu ya taifa ya #Tanzania ‘TaifaStars’ inatarajiwa kuanza ushiriki wake wa Michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2023) kwa kukipiga dhidi ya Morocco katika mchezo wa Kundi F, leo Januari 17, 2024.

Baada ya mechi ya Morocco, Tanzania inayonolewa na Kocha Adel Amrouche inatarajiwa kukutana na Zambia (Januari 21, 2024) kisha dhidi ya DR Congo (Januari 24, 2024).

Jikumbushe historia ya mechi zilizopita baina ya wababe hao wawili; Tanzania 0-2 Morocco (2023), Morocco 2-1 Tanzania (2013), Tanzania 3-1 Morocco (2013), Morocco 3-1 Tanzania (2011), Tanzania 0-1 Morocco (2010).
Golini akipangwa manula jua tunabeba mengi leo. Kocha ajiepushe kupewa majina kishabiki kutoka kwa Karia
 
Tanzania (Taifa Stars) inatarajia kuingia kucheza Mchezo wake wa kwanza wa AFCON dhidi ya Morocco kwenye mji wa San Pedro, Ivory Coast. Mechi hii itachezwa saa 2:00 usiku

Timu hizo zipo kwenye kundi F ambpo timu nyingine ni Zambia na DR Congo.

Upi utabiri wako wa mechi hiyo?

===========

Timu ya taifa ya #Tanzania ‘TaifaStars’ inatarajiwa kuanza ushiriki wake wa Michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2023) kwa kukipiga dhidi ya Morocco katika mchezo wa Kundi F, leo Januari 17, 2024.

Baada ya mechi ya Morocco, Tanzania inayonolewa na Kocha Adel Amrouche inatarajiwa kukutana na Zambia (Januari 21, 2024) kisha dhidi ya DR Congo (Januari 24, 2024).

Jikumbushe historia ya mechi zilizopita baina ya wababe hao wawili; Tanzania 0-2 Morocco (2023), Morocco 2-1 Tanzania (2013), Tanzania 3-1 Morocco (2013), Morocco 3-1 Tanzania (2011), Tanzania 0-1 Morocco (2010).
Mungu wanyime Nguvu Hawa.
20240117_192810.jpg
 
Njia pekee ya manula kurudisha uaminifu ni Kudaka Mkwaju wa Penati maana Raia hazina imani nae kabisaa...Njia ya samatta kuaminiwa na wananchi afunge goli aache mpira wa Kifaza..Himid Mao pale kati ni kama kazeeka huyu jamaa kaanza boli zamani sana ila Miaka yake haisogei kama ya Bocco..Yote tisa la kumi Naitakia stars Ushindi au angalau droo
Mganga wa Manula na Bocco ana kitu
 
🇲🇦 🏆
3-0/3-1/2-1
Ee Mwenyezi Mungu tusaidiee
 
Back
Top Bottom