Mkuu tukibahatisha hata point moja ni furaha kwetu
Kwangu mimi drc na Zambia ndio hatari zaidi
Hapa nimekutana na Mmorocco anasema leo wana tuchapa tu, nimemwabia dakika 90 zikimaliza tutamjua nani mshindi.
 
 
Kocha na Kapteni Wana malengo tofauti...Kocha anasema akatafute uzoefu...Huyu jamaa anasema kushinda! Ila Leo tuna hali ngumu ...hizi Timu ndogo zilizowaoiga wakubwa zimetuchongea MORROCO wataingia Kwa tahadhari kubwa sana! Kinyume chake pia na sisi inatupa moyo tunaweza! ...God bless Taifa Stars!
 
Daah yan niseme ukweli kabisa nilivouona tu huu uzi moyo wangu umeshtuka paaah. Yaan ni kama mgonjwa anayesubiri upasuaji aambiwe muda umefika.

Mungu tusaidie kusitokee aina yoyote ya upasuaji.
 


Nasimama na Morocco kama ishara ya kulaani matendo maovu ya serikalj ya ccm dhidi ya wanyonge.
 
Kivhwa cha mwendawazimu kitanyolewa kwa shoka leo. Hazipungui alba.

Sitapoteza muda wangu kuangalia.

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Kila la kheri Taifa Stars, komaeni kama underdogs wengine walivyokomaa hadi sasa...
 
Kocha asiende pale kupishana na Marrakech. Tutapigwa kama ngoma. Awape heshima, aifunge game tusubirie makosa yao tupate ushindi.
 
Nawaombea dua ndugu zetu Morocco wapate ushindi mnene dhidi ya CCM stars
 
Tutaweza kutoa sare na kama ni kufungwa na Morocco hazitazidi goli 2
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…