Kwa mpira huu inoucheza, Taifa Stars itashika nafasi ya mwisho kwenye kundi na itarudi nyumbani.

Naomba nafasi ya kukutana na raisi Samia ili nimpe mipango ya kunyanyua michezo nchini mwetu.

Kisha niteuliwe niwe mbunge wa kuteuliwa kisha nipewe uwaziri wa michezo.

Ntahitaji kuwa na mkataba wa miaka 5 kutekeleza mipango yote ya uboreshaji michezo nchini.

Lakini wale wote wanohusika na michezo nchini itabidi wote waondolewe ni wale waso na makandokando ndo watabakia.

Na hiyo ni sehemu tu na "blue print" nilo nayo kuhusu michezo nchini.

Bila hivyo michezo ni sekta ambayo sasa imeshikwa na wapigaji hivyo hatufiki mbali.

Au mwasemaje wakuu?
 
Tuna beki mbovu sana sisi, Mwamnyeto ndio boga kabisa.

Kasoro Bacca tu.
Mkuu embu tulia.
Morocco leo wameniheshimisha mama samia mwenyew anaibetia morocco
🤣🤣
Shida hatuupendi ukweli na siasa kila sehemu
 
Morocco piga hao hata 6.

Congo na Zambia wahisha hao jamaa nyumbani waje tuandamane.

Hatuwezi kuandamana wao wako Ivory Coast. Lazima washiriki maandamano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…