Kumekucha udugu kumekucha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uduguu wee humuoni alivyo km black American wa Atlanta?
Ana ni drive crazy huyu jamaaa, afu anachezea Bongo nyosoo.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] maajabu.
 
Msigombane kwa akili ya hii timu ya mipango na hamasa yaani hii timu ya hovyo ndo inawagombanisha embu msigombane marafiki zangu wapendwa
 
Kwa hiyo CAF wanakosea kutukutanisha au? Tena umekosea kutaja Man U.
Hujawahi ona underdog team inashinda?
 
Yaani boraa angebakia samataaa alieingia n bogus tupu
Maneno hayasaidii chochote miaka itaenda itarudi lakin hakuna kitu tutFanya kama hakuna mabadiliko yatayofanyika.
Watafutwe watoto watakaolelewa zile top cream talent zenyew sio za kutoa pesa, serikali ilee hawa watoto huku wakiwa wanasoma pamoja.
Wapate na mwalimu wa kuwafundisha miaka 10 tu Itakua ni hatari.
Halafu shida hatuna exposure kubwa kama wenzetu,
Shida kila kitu ni siasa na rushwa
 
Uduguu wee humuoni alivyo km black American wa Atlanta?
Ana ni drive crazy huyu jamaaa, afu anachezea Bongo nyosoo.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] maajabu.
Ukipata no yake usituangushe sisi tupo na wewe hadi umpate 🤣
 
Warembo wa jf walenda mlira mbona sijasikia mkisema hakimi ni handsome boy, au kisa alimpa mali zote mama yake 🤣🤣🤣🤣
 
Hawa matapeli waliomdanganya Rais wetu wakabwe warudishe pesa, mpira ni uwekezaji sio mihemko.

Over.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…