FT: Tanzania 0 - 3 Morocco | AFCON 2024 | San Pedro, Ivory Coast | 17.01.2024
Kumekucha udugu kumekucha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uduguu wee humuoni alivyo km black American wa Atlanta?
Ana ni drive crazy huyu jamaaa, afu anachezea Bongo nyosoo.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] maajabu.
 
Coca hebu tusigombane bure, chuki hizo na Manula kwa kitu gani? Sina mambo ya Uyanga kwenye timu ya Taifa ndio maana unaona hakuna nilikompondea mchezaji yeyote wa Simba.

Sio lazima tukubaliane, hivyo ni vyema kuheshimu maoni ya wengine.
Mbona mimi sijakuvaa unavyoponda beki zilikuwa hovyo? Tena umeweka wazi kabisa ni beki za Yanga Bacca na Mwamnyeto...
Msigombane kwa akili ya hii timu ya mipango na hamasa yaani hii timu ya hovyo ndo inawagombanisha embu msigombane marafiki zangu wapendwa
 
Brazil alifungwa na Morocco,na si Brazil tu,Hispania na wengine wanaojua mpira,huwezi linganisha mchezaji wa namungo na anayecheza man u, tatizo Kuna wakulima na wafugaji wengi mnashabikia mpira siku hizi,hamjui lolote kuhusu mpira,wachagga nao siku hizi wanashabikia mpira badala ya kuuza duka
Kwa hiyo CAF wanakosea kutukutanisha au? Tena umekosea kutaja Man U.
Hujawahi ona underdog team inashinda?
 
Yaani boraa angebakia samataaa alieingia n bogus tupu
Maneno hayasaidii chochote miaka itaenda itarudi lakin hakuna kitu tutFanya kama hakuna mabadiliko yatayofanyika.
Watafutwe watoto watakaolelewa zile top cream talent zenyew sio za kutoa pesa, serikali ilee hawa watoto huku wakiwa wanasoma pamoja.
Wapate na mwalimu wa kuwafundisha miaka 10 tu Itakua ni hatari.
Halafu shida hatuna exposure kubwa kama wenzetu,
Shida kila kitu ni siasa na rushwa
 
Uduguu wee humuoni alivyo km black American wa Atlanta?
Ana ni drive crazy huyu jamaaa, afu anachezea Bongo nyosoo.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] maajabu.
Ukipata no yake usituangushe sisi tupo na wewe hadi umpate 🤣
 
Warembo wa jf walenda mlira mbona sijasikia mkisema hakimi ni handsome boy, au kisa alimpa mali zote mama yake 🤣🤣🤣🤣
 
Hawa matapeli waliomdanganya Rais wetu wakabwe warudishe pesa, mpira ni uwekezaji sio mihemko.

Over.
 
Back
Top Bottom