FT: Tanzania 0 - 3 Morocco | AFCON 2024 | San Pedro, Ivory Coast | 17.01.2024
Siasa imeathiri vipi mchezo wa leo??

Ukiachana na hizi propaganda za huku nje, sidhani kama zinaathiri direct saikolojia ya wachezaji.

Tukubali tu wachezaji wetu viwango ni duni.
Inaathiri hamuwekezi kwenye mpira mkiona kuna vimashindano pua za hamasa zinawasha😄😄

Hata mambo ya ugeni rasmi kwenye mpira
Ushawai muona mfalme wa uingereza km mgeni rasmi
Au raisi wa france au biden😄🤣🤣🤣
 
Timu la CCM hili acha lifungwe tu.
Wamorocco wenzangu tujuane mapema
Nawasiwasi Tukifungwa hawa tutakataa sio Watanzania 🤣🤣🤣
Hakuna matumaini, Dah na aisha yupo golini tutegemee majanga
Hiki kikundi cha ccm kitapigwa kama ngoma
😃😃😀😀😄😄😃😅😅😁😁Yametimia Sasa Huenda Timu Ikafungwa Mechi Zijazo Magoli Mengi Ikaondolewa Kwa Aibu
 
Sio kweli, refa yule ni fala tu
Mechi ya zambia na drc ametoa red card kwa Zambia na baada ya kucheki var ameifuta
So pale tumeonewa sana, ile haikywa rafu
Kwelimkuu nimejiridhisha ingawa nilichoona wale mareefa walishatonnywa mwamba anasumbua toka dar malizana nae mhamala usome
 
20240118_004812.jpg
 
mnamkumbukaa kapumbuuu??
 

Attachments

  • Screenshot_20240118_003318_Chrome.jpg
    Screenshot_20240118_003318_Chrome.jpg
    94.2 KB · Views: 2
yule falaa aliepiga kelele matokeo ya morocooo mwambien akaangalie nilichomwandikia

atfute kanisa tupige dili

FT x zambia done
 

Attachments

  • Screenshot_20240118_005653_Chrome.jpg
    Screenshot_20240118_005653_Chrome.jpg
    63.7 KB · Views: 3
Huyu kocha sio mzuri sasa nimemuelewa Karia kwanini hakuwatoa players waliokuwa na risks za red cards mapema

Pili pamoja na kuwa Samatta hakuwa ktk kiwango kizuri alitakiwa acheze 99 minutes sababu alikuwa anakabwa na wachezaji wawili.

Huyu aondoke Hafai kabisa
 
Back
Top Bottom