Inaathiri hamuwekezi kwenye mpira mkiona kuna vimashindano pua za hamasa zinawasha😄😄Siasa imeathiri vipi mchezo wa leo??
Ukiachana na hizi propaganda za huku nje, sidhani kama zinaathiri direct saikolojia ya wachezaji.
Tukubali tu wachezaji wetu viwango ni duni.
Hata mambo ya ugeni rasmi kwenye mpira
Ushawai muona mfalme wa uingereza km mgeni rasmi
Au raisi wa france au biden😄🤣🤣🤣