Inaathiri hamuwekezi kwenye mpira mkiona kuna vimashindano pua za hamasa zinawasha😄😄Siasa imeathiri vipi mchezo wa leo??
Ukiachana na hizi propaganda za huku nje, sidhani kama zinaathiri direct saikolojia ya wachezaji.
Tukubali tu wachezaji wetu viwango ni duni.
10 nini?Me nilitaka stars akandwe hata goli 10.View attachment 2874919
Angalia usije zoa UTI sugu isiyosikia AZUMA wala kukubali Pruffel, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mda si mrefu ntampa Raha huyu na Leo nipo bar hapa kigamboni ngoja nipige hii
Nina pakti zangu 3 hapa za dumeAngalia usije zoa UTI sugu isiyosikia AZUMA wala kukubali Pruffel, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapo unyadee mwinooo.Nina pakti zangu 3 hapa za dume
Timu la CCM hili acha lifungwe tu.
Wamorocco wenzangu tujuane mapema
Nawasiwasi Tukifungwa hawa tutakataa sio Watanzania 🤣🤣🤣
Hakuna matumaini, Dah na aisha yupo golini tutegemee majanga
😃😃😀😀😄😄😃😅😅😁😁Yametimia Sasa Huenda Timu Ikafungwa Mechi Zijazo Magoli Mengi Ikaondolewa Kwa AibuHiki kikundi cha ccm kitapigwa kama ngoma
Ukitoa redkd imekwenda outKwanin aligoma kwenda kujiridhisha VAR
Sio kweli, refa yule ni fala tuUkitoa redkd imekwenda out
kujiridhisha watakufutia ukiwa tayari nje ya uwanja refa sio fala
Kwelimkuu nimejiridhisha ingawa nilichoona wale mareefa walishatonnywa mwamba anasumbua toka dar malizana nae mhamala usomeSio kweli, refa yule ni fala tu
Mechi ya zambia na drc ametoa red card kwa Zambia na baada ya kucheki var ameifuta
So pale tumeonewa sana, ile haikywa rafu
Ndio wametulaanisha na haya matokeoMatapeli tu wale
Ova
Duh kwelu tatu bila nyingi, yaani penalty mwezenu ndio nimeona red cardSio kweli, refa yule ni fala tu
Mechi ya zambia na drc ametoa red card kwa Zambia na baada ya kucheki var ameifuta
So pale tumeonewa sana, ile haikywa rafu
We umeangalia mechi ipi? Mi sijaona red card iliyotoka labda kama unazungumzia refa kutoa penalty afu akaifuta baada ya kucheki varSio kweli, refa yule ni fala tu
Mechi ya zambia na drc ametoa red card kwa Zambia na baada ya kucheki var ameifuta
So pale tumeonewa sana, ile haikywa rafu