FT: Tanzania 0 - 3 Morocco | AFCON 2024 | San Pedro, Ivory Coast | 17.01.2024
Sielewi Taifa Stars wacheza kwa malengo yapi.

Kila wachezaji wa nyuma wakipata mipira waibutua bila malengo ya kutoa pasi au vipi.
 
Kocha wetu inaonekana wazi kbs alikua hana plan ya sisi kupata goal yy amefanya game planning zake zote sisi tuwe tunacheza back passes tu na kujilinda.
 
Hii staili ya Kuchezea na mshambuliaji mmja mbele binafsi sijakubali kabisa hata kama mtasema ni kujihami.

Kocha aongeze mshambuliaji mwingine mbele Bora wawe 2
Wanacheza 523, lakini Mpira unacheza kwenye hafu yetu yani karibu na kipa, unategemea Nini, hafu mbona wachezaji wazito ndo madhara ya kudanganya umri
 
Back
Top Bottom