Full Blood Picture
JF-Expert Member
- Jan 7, 2021
- 2,223
- 3,961
Haya matokeo yameharibu hamu ya kula chakula cha jioni kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sana tuYanga wametudhalilisha...
Kusema ukweli....taifa stars...bado sana....Beki mtoboko...yani zinakabia macho ..any way vijana wacha wale mishahara sie midomo tuu huku..m
Ht xTujiandae kucheki boli sasa la Zambia Vs Congo baada ya hii ndondo cup ya Kizimkazi
Yanaleta siasi huku wewe angalia vizuri basihao wachezaji wanaocheza rafu watakuwa chadema hao.
Tutatia aibu namkwambia...host first round elimination.Tengenezeni viwanja wanaojua mpira waje wacheze AFCON ijayo
Nilifikiri ungetoa hoja, kumbe unakimbilia jinsia, poleee weeKumbe nabishana na mwanamke
Aliyoyaokoa hujayaona? Beki mbovu...Kipa gani wa kupangulia ndani kila mara?
Mpira unapigwa kwny angle badala apunch mpira nje yeye ana punch ndani na ndio sababu ya goli la kwanza
Kifupi ni kuwa hatuna timu wala kocha
GG haitoi kweli?Ht x
Ukiweza ft x
Achaa ilalie huko huko ndaniiiHautaki kuchomoa
Mipira imekufa sana mbele wanabaki nyuma ingawa wamejitahidi kiasi chake IlaKusema ukweli....taifa stars...bado sana....
Naunga mkono hojaKwenye ukweli tuweke wazi, mabeki kule nyuma hakna kitu, hata awe De gea angefungwa tyuuh.
Huyo Diarra ndani ya kikosi chake cha Taifa kuna watu wa maana.
Mbna akiwa Yanga anafungwa, km kweli yeye ni mkalii hivyoo?
HaijaumaAchaa ilalie huko huko ndaniii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ungeenda kulala usingiz. Unakua kama amateur wa bet. Hii leo ilikua unacheza combo yaan Morocco wins, morroco over 2.5, morocco handicap -2.5, red card? YES kisha unamalizia na GG? NOOver imetoa, sijui GG kama itatoka!
Sure...nadhani kuna namna kwny utafutaji wa wachezaji wa kucheza national team siasa zinatawalaKusema ukweli....taifa stars...bado sana....