FT: Tanzania 0 - 3 Morocco | AFCON 2024 | San Pedro, Ivory Coast | 17.01.2024
Kipa gani wa kupangulia ndani kila mara?

Mpira unapigwa kwny angle badala apunch mpira nje yeye ana punch ndani na ndio sababu ya goli la kwanza

Kifupi ni kuwa hatuna timu wala kocha
Aliyoyaokoa hujayaona? Beki mbovu...
 
Kwenye ukweli tuweke wazi, mabeki kule nyuma hakna kitu, hata awe De gea angefungwa tyuuh.

Huyo Diarra ndani ya kikosi chake cha Taifa kuna watu wa maana.

Mbna akiwa Yanga anafungwa, km kweli yeye ni mkalii hivyoo?
Naunga mkono hoja
 
Jamani tuwe wapole hawa Morocco waliitoa Ureno ya Cristiano Ronaldo!

Nadhani yale ni maji marefu kwetu, tukijipanga Congo na Zambia kidogo ndio size yetu.
 
Over imetoa, sijui GG kama itatoka!
Ungeenda kulala usingiz. Unakua kama amateur wa bet. Hii leo ilikua unacheza combo yaan Morocco wins, morroco over 2.5, morocco handicap -2.5, red card? YES kisha unamalizia na GG? NO
 
Back
Top Bottom