FT: Tanzania 0 - 3 Morocco | AFCON 2024 | San Pedro, Ivory Coast | 17.01.2024
IMG_9445.jpeg
 
Unadhani kwa team ya Taifa naumia? Hapa nasubiri ba tamu aseme amepata kias gan, nilichangia hela ya kubetiaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aliiua timu ya taifa ???[emoji23][emoji23] huyo ba tamu achana nayo
 
Uwezo wa kocha ni Mdogo sana .

1. Unacheza na Morocco unaweka backline 3 na midfield 4 ????

2. Mchezaji ana kadi na anafanya faulo Mara kwa Mara anashindwa kumtoa mapema kwa tahadhari?

3.Wachezaji wa nje hawana msaada wowote kwa timu wamejaza nafasi za bure.
 
Tutatia aibu namkwambia...host first round elimination.
Mie nasema bongo tuende mashindank ya kugegedana tuu mpira sie bado
mashindano ya uzembe tutashind
We

wewe sema tu unapiga mbio ndefu mpaka kesho
Hakuna mtu anakosa hamu ya kula kwa timu hii ya ndondo cup temeke
Kwani si tu wachezaji wengi kwenye vilabu vyetu wameenda wapi
 
Asante sana
Ccm imefungwa, watched kuchanganya mpira na siasa
 
Uwezo wa kocha ni Mdogo sana .

1. Unacheza na Morocco unaweka backline 3 na midfield 4 ????

2. Mchezaji ana kadi na anafanya faulo Mara kwa Mara anashindwa kumtoa mapema kwa tahadhari?

3.Wachezaji wa nje hawana msaada wowote kwa timu wamejaza nafasi za bure.
Alisema unawezaje kwenda kigoma na sh 250...??
Mkuuu huyu ndie kocha hapindi kanyoooka
 
Hapa nimegundua mashabiki wengi wa simba wanasema shida ni beki na mashabiki wengi wa yanga wanasema shida ni kipa
 
Back
Top Bottom